إعدادات العرض
Hauondoi uchawi ila mchawi
Hauondoi uchawi ila mchawi
Na imepokelewa kutoka kwa Hassan yakwamba yeye amesema: "Hauondoi uchawi ila mchawi".
[Ni nzuri] [Imepokelewa na Ibn Abii Shaybah - Imepokelewa na Alkhatwaby]
الترجمة
العربية বাংলা Bosanski English Español فارسی Français Bahasa Indonesia Русский Tagalog Türkçe اردو 中文 हिन्दी Hausa Kurdî Português සිංහලالشرح
Nushra, ni kuondoa uchawi, na uwazi wa maneno ya Hassan ni kuzuia hilo moja kwa moja; kwasababu hakuna anayeweza kuuondoa uchawi isipokuwa mwenye maarifa ya uchawi, na hii inachukuliwa katika kuondoa uchawi kwa uchawi mfano wake, ambayo ni katika kazi za shetani, na aliweka wazi bin Qayyim kwa kusema: Nikuwa, kumtibu aliyerogwa kwa madawa ya halali na kusoma qur'ani ni jambo linalofaa, na kumtibu aliyerogwa kwa uchawi ni haramu.التصنيفات
Vichenguzi vya uislamu.