إعدادات العرض
Jisafisheni vizuri kutokana na mkojo; kwani adhabu nyingi za kaburini zinatokana na hilo.
Jisafisheni vizuri kutokana na mkojo; kwani adhabu nyingi za kaburini zinatokana na hilo.
Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, Hadithi Marfu'u: "Jisafisheni vizuri kutokana na mkojo; kwani adhabu nyingi za kaburini zinatokana na hilo".
الترجمة
العربية বাংলা Bosanski English Español فارسی Français Bahasa Indonesia Русский Tagalog Türkçe اردو 中文 हिन्दी Kurdî Hausa Português മലയാളം తెలుగు தமிழ் မြန်မာ ไทย 日本語 پښتو Tiếng Việt অসমীয়া Shqip සිංහලالشرح
Anatubainishia Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake katika hadithi hii kuwa moja ya sababu za adhabu za kaburi, ni hii iliyoenea sana, nayo nikutojisafisha vizuri na kujitwaharisha kutokana na mkojo.فوائد الحديث
Kuchunga juu ya kujisafisha na kujiweka mbali na mkojo, ili usimpate katika mwili wake wala nguo yake.
Lililo bora ni kufanya haraka kuosha mahala hapo, na kujitwaharisha baada ya kupatwa; ili asiambatane na najisi, ama uwajibu wa kuiondoa unakuwa wakati wa swala.
Nikuwa mkojo ni najisi, ukiupata mwili au nguo au sehemu, unapanajisisha; Hivyo haiswihi swala kwa hilo; kwasababu kujisafisha kutokana na najisi ni moja kati ya sharti zake.
Nikuwa kuacha kujisafisha kutokana na mkojo ni katika madhambi makubwa.
kuthibiti kwa adhabu za kaburini, nazo zimethibiti kwa Qur'ani na sunna na makubaliano ya wanachuoni.
Kuthibitisha malipo Akhera, Hivyo sehemu ya kwanza katika vituo vya akhera ni kaburi: Ima iwe ni kiwanja miongoni mwa viwanja vya pepo, au shimo katika mashimo ya moto.
التصنيفات
Adabu ya Kukidhi Haja.