إعدادات العرض
Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
Imepokewa kutoka kwa Bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- amesema: Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja.
[Sahihi] [Imepokelewa na Al-Bukhaariy]
الترجمة
ar en my sv cs gu yo nl ur id ug bn tr si hi vi ha te ps as prs ky lt rw ne ml bs kn ku ro so sq sr uk wo mos tl ta az fa ka zh hu pt de mk ru bm am ak mg omالشرح
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- katika baadhi ya nyakati zake anapotawadha anaosha kila kiungo katika viungo vya udhu mara moja moja, anaosha uso pamoja kusukutua na kupandisha maji puani, na mikono miwili na miguu miwili mara moja moja, na hiki ndicho kiwango cha wajibu.فوائد الحديث
Kilicho wajibu katika kuosha viungo ni mara moja moja, inayozidi inapendeza kufanya hivyo.
Sheria ya kutia udhu mara moja moja katika baadhi ya nyakati.
Sheria katika kufuta kichwa ni mara moja.