إعدادات العرض
1- Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu
2- Tulikuwa tukimuandalia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- mswaki wake na (maji yake kwaajili ya) twahara, basi Mwenyezi Mungu anamuamsha kwa muda anaotaka aamke nyakati za usiku, anapiga mswaki, na anatawadha na anaswali
3- Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
4- Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili