إعدادات العرض
Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida yake basi atakuwa amefanya shirki, wakasema: Ni ipi kafara ya hilo? Akasema: ni useme: Ewe Mwenyezi Mungu hakuna kheri ila kheri yako, na hakuna ndege ispokuwa ndege wako, na hakuna Mola zaidi yako.
Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida yake basi atakuwa amefanya shirki, wakasema: Ni ipi kafara ya hilo? Akasema: ni useme: Ewe Mwenyezi Mungu hakuna kheri ila kheri yako, na hakuna ndege ispokuwa ndege wako, na hakuna Mola zaidi yako.
Kutoka kwa Abdillah bin Amri bin Aaswi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Hadithi Marfu'u: "Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida yake basi atakuwa amefanya shirki, wakasema: Ni ipi kafara ya hilo? Akasema: ni useme: Ewe Mwenyezi Mungu hakuna kheri ila kheri yako, na hakuna ndege ispokuwa ndege wako, na hakuna Mola zaidi yako.
[Sahihi] [Imepokelewa na Ahmad]
الترجمة
العربية বাংলা Bosanski English Español فارسی Français Bahasa Indonesia Русский Tagalog Türkçe اردو 中文 हिन्दी Kurdî Hausa Português മലയാളം తెలుగు தமிழ் မြန်မာ Deutsch 日本語 پښتو Tiếng Việt অসমীয়া Shqip සිංහලالشرح
Anatueleza Mtume rehema na Amani zimfikie katika hadithi hii kuwa yeyote itakayemzuia mikosi kutoliendea alilolikusudia basi huyu atakuwa kaleta aina miongoni mwa aina za ushirikina, na walipomuuliza maswahaba juu ya kafara ya dhambi hili kubwa aliwaelekeza katika ibara hizi tukufu katika hadithi ambayo inakusanya kulielekeza jambo kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu- na kukanusha uwezo kwa asiyekuwa yeye.فوائد الحديث
Kuthibitisha ushirikina wa mwenye kurudishwa na mikosi katika haja yake.
Kukubaliwa toba ya mshirikina.
Kuelekezwa anayoyasema mwenye kuingia katika imani ya mikosi.
Nikuwa kheri na shari imekadiriwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
التصنيفات
Ushirikina.