إعدادات العرض
Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama
Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama
Imepokelewa kutoka kwa Jabiri radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu -rehema na amani ziwe juu yake- akisema: "Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama".
[Sahihi] [Imepokelewa na Imamu Muslim]
الترجمة
العربية বাংলা Bosanski English Español فارسی Français Bahasa Indonesia Tagalog Türkçe اردو 中文 हिन्दी සිංහල Hausa Kurdî Tiếng Việt Nederlands অসমীয়া ગુજરાતી Magyar ქართული Românăالشرح
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba waadhini wote ambao huwaita watu kuja katika swala ndio watakuwa watu wenye shingo ndefu zaidi siku ya Kiyama kwa sababu ya utukufu wa amali yao, na wingi wa kheri zao, na ukubwa wa malipo yao.فوائد الحديث
Ubora wa Adhana na himizo lake.
Kumebainishwa utukufu wa waadhini, na daraja lao la juu siku ya Kiyama.