إعدادات العرض
1- Atakapo sema Muadhini: Allahu Akbaru Allahu Akbaru, kisha akasema mmoja wenu: Allahu Akbaru Allahu Akbaru
2- Mtakapomsikia muadhini basi semeni mfano wa jinsi anavyosema
3- Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku
4- Atakayesema wakati anamsikia muadhini: Ninashuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu yeye pekee asiye na mshirika nakuwa Muhammadi ni mja wake na ni Mtume wake, nimeridhia kuwa Mwenyezi Mungu ni Mola wangu na Muhammadi kuwa ni Mtume na Uislamu kuwa ni dini, atasamehewa dhambi zake
5- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
6- Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo