إعدادات العرض
Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina nnaum. Yaani: Swala ni bora kuliko usingizi
Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina nnaum. Yaani: Swala ni bora kuliko usingizi
Imepokelewa kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe ju yake amesema: Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina nnaum. Yaani: Swala ni bora kuliko usingizi.
الترجمة
العربية বাংলা Bosanski English Español فارسی Français Bahasa Indonesia Русский Tagalog Türkçe اردو 中文 हिन्दी Tiếng Việt Hausa Kurdî دری Magyar ქართული සිංහලالشرح
Ameeleza Anasi bin Maliki radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, kuwa miongoni mwa mambo aliyoyakubali Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika sunna zake, ni Muadhini kusema katika Adhana Alfajiri pekee, baada ya kauli yake: "Hayya a'lal falaah" asema: "Asswalaatu khairuni minan nauum" Yaani swala ni bora kuliko usingizi.فوائد الحديث
Kauli yake: "Katika sunna": Yaani: Sunna ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake, inahukumu ya kufikishwa kwa Mtume, yaani inanasibishwa kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
Sunna asema Muadhini katika swala ya Alfajiri baada ya: Hayya a'lal falaah: Aseme: Asswalaatu khairun minan nauum, yaani: Swala ni bora kuliko usingizi, mara mbili; kwa sababu swala ya Alfajiri watu wengi hulala, na wanaamka kwenda katika swala kutoka usingizini, ikahusika swala ya Alfajiri pekee pasina swala nyinginezo.