إعدادات العرض
Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Msikiti wa Makka
Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Msikiti wa Makka
Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake: Kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- Amesema: "Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Msikiti wa Makka".
[Sahihi] [Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim]
الترجمة
العربية English မြန်မာ Svenska Čeština ગુજરાતી አማርኛ Yorùbá Nederlands اردو Bahasa Indonesia ئۇيغۇرچە বাংলা Türkçe සිංහල हिन्दी Tiếng Việt Hausa ไทย پښتو অসমীয়া دری Кыргызча Lietuvių Kinyarwanda नेपाली മലയാളം తెలుగు Bosanski Italiano ಕನ್ನಡ Kurdî Oromoo Română Soomaali Shqip Српски Українська Wolof Tagalog Moore Malagasy தமிழ் Azərbaycan فارسی ქართული 中文 Magyarالشرح
Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ubora wa kuswalia katika msikiti wake, nakuwa ni thawabu bora kuliko swala elfu moja (1000) katika misikiti mingine katika misiti ya ardhini, isipokuwa msikiti mtukufu wa Makka, huo ni bora kuliko swala ya msikiti wake rehema na amani ziwe juu yake.فوائد الحديث
Kuzidishwa kwa malipo ya swala katika msikiti mtukufu (wa Makka), na msikiti wa Mtume.
Swala katika msikiti mtukufu wa Makka ni bora kuliko swala laki moja (100,000) katika misiki mingine.
التصنيفات
Hukumu za Misikiti.