Hakika mimi ninamuapa Mwenyezi Mungu -In shaa Allah- si api juu ya kiapo, nikaona kingine ni bora kuliko hicho isipokuwa nitaleta kilicho bora, na ninajivua nacho

Hakika mimi ninamuapa Mwenyezi Mungu -In shaa Allah- si api juu ya kiapo, nikaona kingine ni bora kuliko hicho isipokuwa nitaleta kilicho bora, na ninajivua nacho

Kutoka kwa Abuu Musa Al-Ash'ariy -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake-: "Hakika mimi ninamuapa Mwenyezi Mungu -In shaa Allah- si api juu ya kiapo, nikaona kingine ni bora kuliko hicho isipokuwa nitaleta kilicho bora, na ninajivua nacho".

[Sahihi] [Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim]

الشرح

Nikuwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- amejielezea mwenyewe kuwa yeye anapo apa juu kiapo kisha baada ya hapo akaona kuwa kheri ni kutokuendelea nacho anakiacha kwa kuacha alichokiapia na anakitolea kafara kwa kushikamana na ambacho ni kheri katika kufanya au kuacha.

التصنيفات

Viapo na Nadhiri.