إعدادات العرض
Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi nyuma yangu njoo umuuwe
Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi nyuma yangu njoo umuuwe
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: "Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi nyuma yangu njoo umuuwe."
الترجمة
العربية English မြန်မာ Svenska Čeština ગુજરાતી አማርኛ Yorùbá Nederlands اردو Español Bahasa Indonesia ئۇيغۇرچە বাংলা Türkçe Bosanski සිංහල हिन्दी Tiếng Việt Hausa മലയാളം తెలుగు ไทย پښتو অসমীয়া Shqip دری Ελληνικά Български Fulfulde Italiano ಕನ್ನಡ Кыргызча Lietuvių Malagasy or Română Kinyarwanda Српски тоҷикӣ O‘zbek नेपाली Moore Kurdî Oromoo Wolof Soomaali Français Azərbaycan Tagalog Українська bm தமிழ் Deutsch ქართული Português Македонски Magyar فارسی Русский 中文الشرح
Amefahamisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa Kiyama hakitasimama mpaka Waislamu watakapopigana na Mayahudi, Mpaka atakapo kimbia Myahudi nyuma ya mawe ili ajifiche waislamu wasimuone; Mwenyezi Mungu atalitamkisha jiwe na litamuita Muislamu: Na kumwambia kuwa Myahudi yupo nyuma yake mpaka aje na amuuwe.فوائد الحديث
Kutoa habari -Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-ya baadhi ya mambo yaliyofichikana na yatakayotokea baadaye, kwa namna ambayo Mwenyezi Mungu alivyomuonesha, na mambo hayo yatatokea kwa lazima.
Waislamu kupigana na Mayahudi katika zama za mwisho, na tukio hilo ni katika alama za Kiyama.
Kubakia kwa Dini ya Uislamu mpaka siku ya Kiyama, na itazishinda dini zote.
Nusura ya Mwenyezi Mungu kwa waislamu dhidi ya maadui zao, na katika hilo la kuwashinda ameyafanya mawe yaongee katika siku za mwisho.
التصنيفات
Maisha ya Barzakhi(Baada ya kufa)