إعدادات العرض
Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu hunirudishia roho yangu ili nimjibu salam
Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu hunirudishia roho yangu ili nimjibu salam
Kutoka kwa Abuu Huraira radhi za Allah ziwe juu yake yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema: "Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu hunirudishia roho yangu ili nimjibu salam".
الترجمة
العربية Bosanski English فارسی Français Bahasa Indonesia Русский Türkçe اردو 中文 हिन्दी ئۇيغۇرچە Español Hausa Kurdî Português සිංහල Nederlands অসমীয়া Tiếng Việt ગુજરાતી አማርኛ پښتو ไทย Română മലയാളം Deutsch Oromoo नेपाली ქართულიالشرح
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa hurejeshewa roho yake ili ajibu salam kwa kila aliyemsalimia sawa sawa awe karibu au mbali; na maisha ya Akhera na kaburini ni jambo la ghaibu, hakuna ajuaye uhalisia wake isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee, naye juu ya kila kitu ni muweza.فوائد الحديث
Himizo la kukithirisha kumswalia na kumtakia amani Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
Maisha ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika kaburi lake ni maisha kamili anayoishi mwanadam katika kaburi lake, hakuna awezaye kujua uhalisia wake ila Mwenyezi Mungu Mtukufu pekee.
Hadithi hii si hoja kwa mtu anayesema kuwa Mtume rehema na mani ziwe juu yake yuko hai anaishi kama tunavyoishi sisi, tunasema hivi ili washirikina wasiitumie kama hoja ya kumtaka msaada Mtume rehema na amani ziwe juu yake, bali hayo ni maisha ya barzakh (kaburini).
التصنيفات
Vilivyo maalumu kwa Mtume.