إعدادات العرض
Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Kutoka kwa Adiy bin Hatim kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu".
[Sahihi] [Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy]
الترجمة
العربية English မြန်မာ Svenska Čeština ગુજરાતી አማርኛ Yorùbá اردو Bahasa Indonesia ئۇيغۇرچە සිංහල हिन्दी Hausa ไทย پښتو অসমীয়া دری Кыргызча or Türkçe Tiếng Việt नेपाली Malagasy Kinyarwanda తెలుగు Bosanski Lietuvių Oromoo Română മലയാളം Nederlands Soomaali Српски Kurdî Українська Deutsch ಕನ್ನಡ Wolof Moore Shqip Português ქართული Azərbaycan 中文 Magyar فارسیالشرح
Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Mayahudi ni watu waliokasirikiwa na Mwenyezi Mungu; kwa sababu waliujua ukweli na wala hawakuufanyia kazi. Na Wakristo ni watu waliopotea; kwa sababu walifanya matendo bila ya elimu.فوائد الحديث
Kukusanya kati elimu na matendo ni kuokoka na njia ya waliokasirikiwa na waliopotea.
Kutahadhari njia ya Mayahudi na Wakristo, na kushikamana na njia iliyonyooka ambayo ni Uislamu.
Wote kati ya Mayahudi na Wakristo wamepotea na wamekasirikiwa, lakini sifa maalum kwa Mayahudi ni hasira, na sifa maalum kwa Wakristo ni upotovu.