إعدادات العرض
Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkunazi
Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkunazi
Kutoka kwa Kaisi bin Aswim -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkunazi.
[Sahihi]
الترجمة
العربية English မြန်မာ Svenska Čeština ગુજરાતી አማርኛ Yorùbá Nederlands اردو Bahasa Indonesia ئۇيغۇرچە বাংলা Türkçe සිංහල हिन्दी Tiếng Việt Hausa ไทย پښتو অসমীয়া دری Кыргызча Lietuvių Kinyarwanda नेपाली മലയാളം తెలుగు Bosanski Italiano ಕನ್ನಡ Kurdî Oromoo Română Soomaali Shqip Српски Українська Wolof Tagalog Moore Malagasy தமிழ் Azərbaycan فارسی ქართული 中文 Magyarالشرح
Alikuja Kaisi bin Aswim kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitaka kusilimu, Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akamuamrisha aoge kwa maji na mti wa mkunazi; kwakuwa majani yake hutumika katika usafi; na kwakuwa yana harufu nzuri.فوائد الحديث
Sheria ya kafiri kuoga anapoingia katika Uislamu.
Thamani ya Uislamu na kutilia kwake umuhimu mwili na roho vyote kwa pamoja.
Maji kuchanganyika na vitu safi haviyatoa katika twahara yake.
Visimama badala ya mkunazi vifaa vya usafi vya kisasa, kama sabuni na mfano wake.
التصنيفات
Vyenye kuwajibisha kutawadha.