إعدادات العرض
1- Atakapoona mmoja wenu ndoto anayoipenda, basi hiyo imetoka kwa Mwenyezi Mungu, na amshukuru Mwenyezi Mungu juu yake, na aisimulie
2- Ndoto nzuri hutoka kwa Mwenyezi Mungu, na njozi hutoka kwa shetani
3- Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema
4- Atakayeniona mimi ndotoni basi ataniona akiwa macho -au ni kana kwamba kaniona akiwa macho- hajifananishi shetani na mimi