إعدادات العرض
1- Hebu rudi kwa wazazi wako, na ukaishi nao vizuri
2- Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), atakayewapata wazazi wake wawili wakati wa ukubwa mmoja wao au wote wawili na akawa hakuingia peponi
3- Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani mwenye haki zaidi ya kumfanyia wema wa karibu? akasema: mama yako, kisha mama yako kisha mama yako, kisha baba yako, kisha anayefuata kwa ukaribu kisha nayemfuata kwa ukaribu