إعدادات العرض
1- Wanaendelea watu kuwa katika kheri kwa muda wote watakaofanya haraka kufuturu
2- Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika swala, nikasema: Ulipita muda gani baina ya adhana na daku? Akasema: Kiasi cha (kusoma) aya hamsini
3- Chelewesheni kula daku, hakika katika kuchelewesha kula daku kuna baraka