إعدادات العرض
1- Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele
2- Ametuhadithia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- naye ni mkweli mwenye kukubaliwa: "Kwa hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake kwenye tumbo la mama yake mchana arobaini na nyusiku arobaini