إعدادات العرض
1- Mwenye kuona miongoni mwenu jambo baya basi alibadilishe kwa mkono wake
2- Hakika watu watakapomuona mtu dhalimu (muovu) na wakawa hawakumzuia wako karibu mno, Mwenyezi Mungu kuwafunika wote kwa adhabu itokayo kwake
3- Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mtaamrisha mema, na mtakataza mabaya; au hakika atakuwa karibu zaidi Mwenyezi Mungu kukutumieni adhabu toka kwake, kisha mtamuomba na wala hamtojibiwa