إعدادات العرض
1- Atakayependezwa na kumtazama mtu miongoni mwa watu wa peponi basi na amtazame huyu
2- Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alitoka kwetu sisi, tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tumekwishafahamu ni vipi tutakusalimu, sasa ni vipi tutakutakia Rehema?