إعدادات العرض
1- Yakwamba mwanamke mmoja alipatikana katika baadhi ya vita vya Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akiwa kauwawa
2- Atakayepigana ili liwe neno la Mwenyezi Mungu ndio la juu basi huyo yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu