إعدادات العرض
1- Atakayemdhuru muislamu naye Mwenyezi Mungu atamdhuru, na atakayempa ugumu muislamu naye Mwenyezi Mungu atampa ugumu.
2- Mtu huwa katika mwenendo wa rafiki yake wa karibu, basi na aangalie mmoja wenu ni nani anayemfanya kuwa rafiki yake