إعدادات العرض
1- Siku bora lililochomoza jua ndani yake ni siku ya ijumaa: Ndani yake kaumbwa Adam, na ndani yake kaingizwa peponi, na ndani yake katolewa humo
2- Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa hakimu na muadilifu, atavunja misalaba, na ataua nguruwe, na ataweka kodi (Jizia), na mali itabugujika (itakuwa nyingi) mpaka itafikia mahali hakuna yeyote atakayeikubali