إعدادات العرض
1- Mahala alipo karibu zaidi mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu, zidisheni dua
2- Ni dua ipi inasikilizwa zaidi? Akasema: katikati ya mwisho wa usiku, na mwisho wa swala za faradhi