إعدادات العرض
1- Msivae hariri nyepesi wala nguo zilizofumwa kwa hariri, na wala msinywe katika vyombo vya dhahabu wala fedha, na wala msile katika sahani zake, kwani hivyo ni vyao duniani na ni vyenu Akhera
2- Msivae hariri; kwani atakayeivaa duniani hatoivaa Akhera
3- Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu
4- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie