إعدادات العرض
1- Hakuna swala chakula kikiwa tayari, na hakuna swala kwa mwenye kuhisi haja kubwa na ndogo.
2- Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
3- Mwizi mbaya zaidi kuliko watu wote, ni yule anayeiba swala yake" Akasema: Ataiba vipi swala yake? Akasema: "Hatimizi rukuu zake wala sijida zake