إعدادات العرض
1- Hakika bila shaka mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu, ni kama mfano wa mbeba miski, na mfua vyuma
2- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
3- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema