إعدادات العرض
1- Utakaposema kumwambia mwenzio: Nyamaza siku ya ijumaa na Imamu ana khutubu, utakuwa umefanya mchezo.
2- Kuoga siku ya Ijumaa ni wajibu kwa kila aliyebaleghe, na apige mswaki, na aguse marashi ikiwa atapata