إعدادات العرض
1- Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia
2- Zuia ulimi wako, na ikutosheleze nyumba yako, na ulie juu ya makosa yako
3- Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah msamaha, isipokuwa Mwenyezi Mungu humsamehe