إعدادات العرض
1- Mkamilifu zaidi wa waumini katika imani ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kati yao, na mbora wenu ni mbora wenu kwa wake zake
2- Hakika masharti yenye haki zaidi ya kutekelezwa ni yale ambayo mmehalalisha kwayo nyuchi.
3- Alitufundisha Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Hotuba ya haja: Hakika kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, tunamtaka msaada na tunamuomba msamaha, na tunajilinda kwake kutokana na shari ya nafsi zetu
4- Hakuna ndoa bila walii (msimamizi)
5- Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine. Au alisema:tofauti na hiyo
6- Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake