إعدادات العرض
1- "Hakuacha Jibril kuendelea kunihusia kuhusu jirani mpaka nikadhania kwamba yeye atamrithisha".
2- Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: Hakika nadhiri haiji kwa kheri, na hakika hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahili
3- Hakika mimi ninamuapa Mwenyezi Mungu -In shaa Allah- si api juu ya kiapo, nikaona kingine ni bora kuliko hicho isipokuwa nitaleta kilicho bora, na ninajivua nacho
4- Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosema
5- Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku ya kiyama, basi amtatulie shida mwenye ugumu au ampunguzie