إعدادات العرض
Tabia mbovu.
Tabia mbovu.
1- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
2- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
3- Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno
4- Haingii peponi mfitinishaji
5- Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
6- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
7- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
8- Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha
11- Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri
13- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
16- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
17- Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni