إعدادات العرض
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
1- Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga
3- Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
4- Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
5- Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu
6- Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka
7- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
8- Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja)
9- Hakuna ndoa ila kuwe na walii (Msimamizi)
12- Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
16- Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake