إعدادات العرض
Twahara - usafi-
Twahara - usafi-
3- Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
5- Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe
6- Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
10- Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu
11- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
14- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
15- “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
17- Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
23- akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
32- Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
33- Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake
34- Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
40- Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote
41- Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga
42- Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala
43- Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
44- Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
59- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu hana janaba
