إعدادات العرض
Kuamini siku ya mwisho
Kuamini siku ya mwisho
1- Hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake ndani ya tumbo la mama yake siku arobaini
3- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
5- Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake
8- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
9- La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
21- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
28- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
32- Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane
37- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
38- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
42- Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?
43- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
45- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
52- Jua litasogezwa karibu na viumbe Siku ya Kiyama mpaka liwe karibu nao umbali wa maili moja
54- Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo
