إعدادات العرض
Adabu za kisheria.
Adabu za kisheria.
1- Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
5- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi
7- Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea
10- Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
11- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
27- Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi
33- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
38- Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wala muovu wala mwenye kauli chafu
51- Atakapopiga mwayo mmoja wenu basi na ashike mkono wake juu ya kinywa chake, kwani Shetani huingia
53- Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi
55- Kiapo hutoa bidhaa, na hufuta faida