إعدادات العرض
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
3- Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah
4- Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua
9- Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
16- Mahala pa karibu zaidi anapokuwa Mola Mlezi na mja ni katikati ya usiku wa mwisho
19- Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
21- Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake, ni mfano wa aliyehai na aliyekufa
23- Bahili ni yule ambaye nitatajwa mbele yake, akawa hakuniswalia
25- Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
26- Ewe Mwenyezi Mungu nitengenezee dini yangu ambayo ndiyo kinga ya jambo langu
28- Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera
34- Bwana wa Istighfari (Dua ya kuomba msamaha)
53- Enyi watu, tubieni kwa Mwenyezi Mungu, kwani mimi ninatubia kwa siku mara mia moja
