إعدادات العرض
Fiq'hi ya Tabia.
Fiq'hi ya Tabia.
1- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
2- Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
3- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
4- Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni
6- Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
7- Usikasirike
10- Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno
11- Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu
13- Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake
14- Haingii peponi mfitinishaji
15- Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze
16- Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii
17- Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
21- Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama
22- Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu
24- Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua
25- Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama usiku
26- Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote
27- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
30- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
31- Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha
37- Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake
44- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
46- Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni