إعدادات العرض
Majina na Hukumu.
Majina na Hukumu.
1- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
5- Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
7- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
8- Atayeapa kinyume na Mwenyezi Mungu basi atakuwa amekufuru au kafanya ushirikina
17- Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa
19- Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote hazitokubaliwa sala zake siku arobaini
23- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
28- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
30- Fanyeni haraka kufanya matendo kuna fitina nzito kama kipande cha usiku wa giza,
39- Kafaulu ikiwa atakuwa mkweli
47- Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
49- na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama
54- Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza
59- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
60- Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
61- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
68- Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu
