إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 2
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 2
4- “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma
11- Mahala pa karibu zaidi anapokuwa Mola Mlezi na mja ni katikati ya usiku wa mwisho
43- Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
47- Wamepata ushindi wenye kujitenga
51- Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi
52- Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
53- Asife mmoja wenu isipokuwa afe katika hali ya kumdhania vizuri Mwenyezi Mungu
61- Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake, ni mfano wa aliyehai na aliyekufa
68- Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi
73- Kuwa duniani kama msafiri au mpitanjia
74- Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu
75- Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake
76- Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri
80- Bahili ni yule ambaye nitatajwa mbele yake, akawa hakuniswalia
82- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
83- Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
84- Ewe Mwenyezi Mungu nitengenezee dini yangu ambayo ndiyo kinga ya jambo langu
86- Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera
93- Bwana wa Istighfari (Dua ya kuomba msamaha)
