إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
1- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
2- Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
5- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
8- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
11- Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah
15- Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza
17- Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni
20- Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni
21- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
22- Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
24- Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia
25- Usikasirike
27- Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu
29- Mwenye kunyimwa upole basi kanyimwa kheri yote
31- Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama
32- Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno
35- Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu
37- Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake
38- Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
40- Haingii peponi mkata udugu
41- Haingii peponi mfitinishaji
42- Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake
43- Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua
44- Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze
45- Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii
46- Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
50- Dua ndio ibada
53- Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua
54- Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama
57- Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini
58- Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu
59- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi
61- Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua
63- Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama usiku
64- Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote
65- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
66- Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
69- Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote
71- Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
75- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
76- Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha
78- Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea
85- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
91- Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
94- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi