إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 3
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 3
3- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
11- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
19- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
20- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
21- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
22- Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni
25- Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
35- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
36- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
37- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
62- Atakapopiga mwayo mmoja wenu basi na ashike mkono wake juu ya kinywa chake, kwani Shetani huingia
94- Atakayejirusha kutoka juu ya mlima akajiua basi huyo atakuwa motoni akijirusha humo milele na milele