إعدادات العرض
Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
1- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
5- Hakika Mwenyezi Mungu aliandika mema na maovu, kisha akalibainisha hilo
13- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
14- Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni
15- Wameangamia wenye kufanya uzito katika mambo
20- Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
23- Kusibaki katika shingo la mnyama bangili za shaba au kengele isipokuwa (ahakikishe) zimekatwa
31- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
32- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
33- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
37- Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu
45- Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
46- Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
51- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
52- Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake mtafuata nyenendo za wale waliokuwa kabla yenu
55- kanipinga mwanadamu na hakustahiki kufanya hivyo, na amenitukana na hakustahiki kufanya hivyo
58- Atakayetundika hirizi atakuwa kafanya ushirikina
61- Hawaingii Malaika nyumba ambayo ndani yake kuna mbwa au picha
62- Msiape kwa masanamu, wala kwa baba zenu
70- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
71- Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?
