إعدادات العرض
Fiq'hi na misingi yake. - الصفحة 3
Fiq'hi na misingi yake. - الصفحة 3
3- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
6- Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
8- Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
9- Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
14- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi
25- Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”
50- Hakika vitu hivi viwili ni haramu kwa wanaume wa umma wangu, ni halali kwa wanawake wao
52- Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu
80- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu hana janaba
94- Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya mwisho
