إعدادات العرض
Fiq'hi na misingi yake. - الصفحة 2
Fiq'hi na misingi yake. - الصفحة 2
9- akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
22- Aliulizwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-: Ni swala ipi bora? Akasema: Ni kurefusha kisimamo
30- Haijawahi kupata vumbi miguu ya mja yeyote katika njia ya Mwenyezi Mungu, halafu ikaguswa na moto
33- Atakayeswali (wakati) wa baridi mbili ataingia peponi
35- Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja
37- Mtakapouona basi fungeni, na mtakapouona basi fungueni, ukifunikwa kwenu nyinyi basi ukadirieni
40- Si halali damu ya muislamu isipokuwa kwa moja kati ya mambo matatu
46- Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
48- Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
52- Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
58- Kamwe, hatoingia motoni mtu yeyote aliyeswali kabla ya kuchomoza Jua na kabla ya kuzama kwake
64- Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake
65- Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
72- Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote
73- Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga
75- Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
78- Asiswali mmoja wenu katika nguo moja ambayo hakuna chochote mabegani mwake
80- Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako
93- Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile
94- Hamtazami Mwenyezi Mungu mtu ambaye kamuingilia mwanaume au mwanamke katika tupu yake ya nyuma
