إعدادات العرض
Fiq'hi na misingi yake.
Fiq'hi na misingi yake.
3- Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
5- Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
7- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
9- Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe
10- Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
12- Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga
16- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
17- Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
20- Hakuacha Jibrili kuniusia kuhusu jirani, mpaka nikadhania kuwa atamrithisha
21- Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina
22- Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
23- Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu
26- Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
27- Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
28- Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu
31- Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake
33- Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka
34- Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku
36- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
37- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
38- Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba
40- Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam
41- Swali ukiwa umesimama, usipoweza basi swali ukiwa umekaa, usipoweza basi ukiwa umelala ubavu
42- Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu
44- Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja)
45- Hakuna ndoa ila kuwe na walii (Msimamizi)
48- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
51- Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu
53- Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
54- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
61- La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
62- “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu
64- Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
65- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
67- Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
70- Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
71- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
75- “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
85- Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
100- akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-