إعدادات العرض
Mambo yaliyo bora.
Mambo yaliyo bora.
6- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
8- Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu
10- Haingii peponi mkata udugu
11- Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake
12- Dua ndio ibada
13- Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua
16- Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini
42- Wamepata ushindi wenye kujitenga
48- Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu
58- Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
64- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
65- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
83- Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji ni kama kuhama kuja kwangu