إعدادات العرض
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
1- Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
3- Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
5- , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
9- Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza
10- Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni
11- Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
13- Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia
14- Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama
17- Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
18- Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote
22- Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
26- “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma
42- Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi
52- Kuwa duniani kama msafiri au mpitanjia
53- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
60- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
61- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
62- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
64- Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
68- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
83- Atakayejirusha kutoka juu ya mlima akajiua basi huyo atakuwa motoni akijirusha humo milele na milele