إعدادات العرض
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. - الصفحة 2
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. - الصفحة 2
6- Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
8- Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
14- Kamwe, hatoingia motoni mtu yeyote aliyeswali kabla ya kuchomoza Jua na kabla ya kuzama kwake
20- Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake
21- Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
27- Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote
28- Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga
30- Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
50- Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
51- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
52- Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala
53- Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
54- Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
58- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
61- Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
63- Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
64- Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
69- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi
75- Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”