إعدادات العرض
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
3- Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
5- Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
7- Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
9- Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe
10- Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
14- Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
15- Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu
17- Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
20- Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake
23- Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
24- Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia
25- Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba
27- Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam
28- Swali ukiwa umesimama, usipoweza basi swali ukiwa umekaa, usipoweza basi ukiwa umelala ubavu
29- Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu
32- Umejengwa uislamu kwa mambo matano
35- Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu
37- Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
38- Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
42- “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu
43- Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
44- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
46- Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
48- Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
49- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
52- “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
62- Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
74- akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
87- Aliulizwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-: Ni swala ipi bora? Akasema: Ni kurefusha kisimamo
95- Haijawahi kupata vumbi miguu ya mja yeyote katika njia ya Mwenyezi Mungu, halafu ikaguswa na moto
97- Atakayeswali (wakati) wa baridi mbili ataingia peponi